send link to app

Njia


4.4 ( 5984 ratings )
Kitaplar Referans
Geliştirici: Pattern Resource Group, LLC
ücretsiz

Je, umewahi kusoma simuliza ya Mwenyezi Mungu kwenye Torat, Zabur, na Injil? App hii itakupa fursa ya kusoma maandiko matakatifu pamoja na kikundi chako. Baada ya kusoma kila stori utaulizwa maswahili muhimu ili utaweza kuzunguma vizuri kuhusu maandiko yale. Mwenyezi Mungu, tuonyeshe njia!